Elimu Leo

Home » Mitihani » MAJINA YA WANAFUNZI BORA WA SAYANSI KIDATO CHA NNE 2014 WANAOTAKIWA KUCHUKUA ZAWADI ZAO KWA WAKUU WA SHULE

MAJINA YA WANAFUNZI BORA WA SAYANSI KIDATO CHA NNE 2014 WANAOTAKIWA KUCHUKUA ZAWADI ZAO KWA WAKUU WA SHULE

top-student-awards1

Katika sherehe za maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika mkoani Dodoma mwaka 2015 , Mhe. Balozi wa Jamhuri ya watu wa china aliahidi kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya Sayansi katika Mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne mwaka

2014. Wanafunzi sita (6) walipatiwa zawadi hizo kwa niaba ya wenzao.

Kwa sasa zawadi hizo zimeshatumwa katika shule ambako wanafunzi hao walisoma. Kwa tangazo hili, wanafunzi hao wanatakiwa kufuatilia zawadi zao kwa wakuu wa shule walizosoma na kuhitimu kidato cha Nne Mwaka 2014. Majina ya wanafunzi hao ni kama ifuatavyo:

wanafunzi_bora_sayansi_2014


4 Comments

  1. Benjamin Lazaro Masolwa says:

    Mimi ni BENJAMIN LAZARO MASOLWA ni mmoja kati ya wanafunzi bora kwa masomo ya sayansi csee 2014.
    kipindi zawadi zinatolewa sikuwa karibu na shule niliyosomea o-level kwa maana hiyo nilisubiri kwanza mpaka nimalize masomo yangu ya sekondari,
    Baada ya kuhitimu kidato cha sita mwaka huu nimejaribu kufuatilia shuleni nikaambiwa hakuna zawadi yoyote iliyo wafikia. naomba nisaidiwe nizipate kama inawezekana

    Like

Leave a reply to Benjamin Lazaro Masolwa Cancel reply