Home » Teknolojia

Category Archives: Teknolojia

VIDEO: MZEE ALIYETENGENEZA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME NJOMBE

Bw. Pwagu mbunifu aliyeshia darasa la 7 na kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme na kuusambaza kijijini kwake huko Njombe. mtazame hapo chini anavyoelezea ubunifu wake huo.

 

Video kwa hisani ya BBC.

Advertisements

PICHA 7: UBUNIFU MPYA WA KUJENGA NYUMBA KWA CHUPA ZA PLASTIKI

 

Picha kwa hisani ya mtandao

Angalizo: Ajira kwa watoto ni kosa kisheria

VIDEO: INJINI YA PIKIPIKI ILIYOBUNIWA NA MTANZANIA

COREEN SWAI: BINTI WA KITANZANIA ALIYEBUNI FIMBO YA WASIOONA

Binti wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam Coreen Swai ametengeneza fimbo ya kuwasaidia kutembea walemavu wasioona. Lakini sio fimbo ya kawaida kama zile tunazozijua wengi. Hii ni ya KIPEKEE kabisa kama unavyoweza kuiona kwenye video hapo chini

Chanzo:DW

VIDEO FUPI: MWANAFUNZI WA ILBORU ATENGENEZA ROBOTI

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ilboru iliyopo Jijini Arusha akionesha namna ‘Roboti’ alillolitengeneza likifanya kazi.

Kijana huyo ambaye jina lake bado halijapatikana ametengeneza ‘Roboti’ hilo kwa vifaa mbalimbali ambavyo vingi si rasmi kama inavyoonekana kwenye video hiyo.

Chanzo: Jamii Forum.

%d bloggers like this: