Home » Kuhusu sisi

Kuhusu sisi

Vision

Elimu Leo ni mtandao binafsi uliosajiliwa na BRELA kwa namba 431422 wenye dira ya kuwa chombo cha habari za kielimu ndani na nje ya Tanzania, ulioanzishwa kwa lengo la kuunganisha wadau mbalimbali wa elimu katika kushirikishana juu ya taarifa zinazogusa matukio, mijadala, fursa, changamoto na masoko ya huduma za kielimu.

LENGO LETU: Kuwa chombo bora cha habari za kielimu Tanzania.

DIRA YETU: Kutoa taarifa sahihi za kielimu, kwa watu sahihi, katika wakati sahihi bila ubaguzi wa aina yoyote ile.

IMANI YETU: Tofauti zetu zitaondolewa na Elimu.

KAULI MBIU YETU: Sisi ni Elimu tu.

 

WASILIANA NASI:

th

 

 

5-40-years-of-the-cell-phone-nokia101Tuma ujumbe mfupi:

0629 814 018

 

 

th-1

th-2

 

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: