Home » Habari » ORODHA, KOZI, SIFA NA ADA ZA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA DIPLOMA 2017/18

ORODHA, KOZI, SIFA NA ADA ZA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA DIPLOMA 2017/18

Advertisements

DAKAWA TEACHERS COLLEGE – KILOSA (REG/TLF/030) – Government
Morogoro District Council – Morogoro
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI JAMII NA LUGHA Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 350 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA HISABATI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati 100 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
PATANDI TEACHERS COLLEGE – MERU (REG/TLF/063) – Government
Arumeru District Council – Arusha
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM Mwalimu mwenye Shashahada ya fani ya Sayansi au Sayansi Jamii na Uzoefu wa kazi ya ualimu usiopungua miaka miwili (2); Mwalimu anayefundisha watoto wenye mahitaji maalumu (Wasioona, Viziwi, wenye ulemavu wa akili, nk) ni sifa ya nyongeza (vithibitisho viambatanishwe). 370 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
MTWARA (K) TEACHERS COLLEGE – MTWARA (REG/TLF/038) – Government
Mtwara District Council – Mtwara
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ?Principal Pass? mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 80 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
TARIME TEACHERS COLLEGE (REG/TLF/045) – Government
Tarime District Council – Mara
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MUZIKI, SANAA ZA UFUNDI NA SANAA ZA MAONESHO Ufaulu katika masomo ya kidato cha Sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili na awe alifaulu katika kidato cha nne katika masomo yafuatayo kwa kila kozi, i. Sanaa za Ufundi: Masomo ya Uchoraji pamoja na Kemia, Historia, Fizikia, Kiingereza, na Ufundi au Civil Engeneering, ii. Sanaa za Maonyesho: Masomo ya sanaa za Maonyesho pamoja na masomo ya Fasihi ya Kiingereza, Kiswahili, Jografia na Historia iii. Muziki: Mosomo ya Muziki pamoja na masomo ya Kiingereza, Kiswahili, Fizikia, Jografia na Historia; 90 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
2. STASHAHADA YA UALIMU MICHEZO SEKONDARI ‘Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili na awe amefaulu katika kidato cha nne masomo yafuatayo kwa kila kozi: i. Sanaa za Ufundi: Masomo ya Uchoraji pamoja na Biolojia, Historia, Fizikia, Kiingereza, na Ufundi au Civil Engeneering ii. Sanaa za Maonyesho: Masomo ya sanaa za Maonyesho pamoja na masomo ya Fasihi ya Kiingereza, Kiswahili, Jografia na Historia. iii. Muziki: Mosomo ya Muziki pamoja na masomo ya Kiingereza, Kiswahili, Muziki, Fizikia, Jografia na Historia. iv. Elimu kwa Michezo: masomo ya Elimu kwa Michezo au Physical Education pamoja na Biolojia, Kemia, Fizikia, Kiingeeza, na Kiswahili. 50 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua , Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 80 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
SHINYANGA TEACHERS COLLEGE- SHINYANGA (REG/TLF/092) – Government
Shinyanga District Council – Shinyanga
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA BIASHARA SEKONDARI Ufaulu wa mtihani wa Kidato cha 6 kwa kiwango cha daraja la I-III na alama zisizopungua Principal Pass mbili katika masomo ya Accounts na Commerce 45 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
NACHINGWEA TEACHERS COLLEGE – NACHINGWEA (REG/TLF/041) – Government
Nachingwea District Council – Lindi
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 120 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
MANDAKA TEACHERS COLLEGE – MOSHI (REG/TLF/035) – Government
Moshi District Council – Kilimanjaro
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI KIMU SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Sayansi Kimu (Home Economics). 45 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
KLERUU TEACHERS COLLEGE – IRINGA (REG/TLF/047) – Government
Iringa District Council – Iringa
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA MAALUMU YA UTAALAMU WA MAABARA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Sayansi ya Kilimo na Kemia. 70 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA UFUNDI SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili za somo la Fizikia na somo la Kemia au Bailojia. 148 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI NA HISABATI SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati. 148 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
VIKINDU TEACHERS COLLEGE – MKURANGA (REG/TLF/027) – Government
Mkuranga District Council – Pwani
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo ya Sayansi jamii na lugha yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Kiswahili, Kiingereza, Historia, Jografia, Uraia, Kiarabu na Kifaransa. 190 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
KASULU TEACHERS COLLEGE (REG/TLF/050) – Government
Kasulu District Council – Kigoma
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA HISABATI SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati. 243 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
TANDALA TEACHERS COLLEGE – MAKETE (REG/TLF/044) – Government
Njombe District Council – Njombe
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 180 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
MARANGU TEACHERS COLLEGE (REG/TLF/054) – Government
Moshi District Council – Kilimanjaro
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo ya Sayansi jamii na lugha yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Kiswahili, Kiingereza, Historia, Jografia, Uraia, Kiarabu na Kifaransa. 250 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
KOROGWE TEACHERS COLLEGE – KOROGWE (REG/TLF/046) – Government
Korogwe Town Counci – Tanga
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA HISABATI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati 370 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
TABORA TEACHERS COLLEGE – TABORA (REG/TLF/048) – Government
Tabora Municipal Council – Tabora
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA MAALUMU YA UTAALAMU WA MAABARA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Sayansi ya Kilimo na Kemia. 60 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA HISABATI SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati. 30 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI JAMII NA LUGHA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Hisabati, Biolojia, Kiswahili, na Kiingereza, Historia, Jografia, Urai, Kemia, Fizikia, Sayansi ya Kilimo, Biashara, Elimu ya Michezo, Muziki, Uchoraji, Kiarabu, Kifaransa, Chakula na Lishe na Sanaa za Maonyesho. 50 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
BUNDA TEACHERS COLLEGE – BUNDA (REG/TLF/028) – Government
Bunda District Council – Mara
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI JAMII NA LUGHA Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua Principal Pass mbili katika masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari katika kidato cha 1 hadi 4. Masomo ya Sayansi jamii na lugha yanayofundishwa katika shule za sekondari ni Kiswahili, Kiingereza, Historia, Jografia, Uraia, Kiarabu na Kifaransa. 200 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
MONDULI TEACHERS COLLEGE – MONDULI (REG/TLF/064) – Government
Monduli District Council – Arusha
S/N Program Name Admission Requirements Admission Capacity Program Duration (Yrs) Tuition Fees
1. STASHAHADA MAALUMU YA UTAALAMU WA MAABARA SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Sayansi ya Kilimo na Kemia. 70 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA KILIMO SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo Sayansi ya Kilimo na Biolojia au Kemia. 70 2 Local Fee: TSH. 600,000/=
3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI NA HISABATI SEKONDARI Ufaulu katika masomo ya kidato cha sita (6) kwa kiwango cha daraja la I – III na alama zisizo pungua ‘Principal Pass’ mbili katika masomo mawili kati ya yafuatayo: Fizikia, Biolojia, Kemia na Hisabati. 154 2 Local Fee: TSH. 600,000/=

 

Advertisements

6 Comments

 1. nahtaji kujiunga na Patandi
  mbona sioni tar.za application?2018-2019

  Like

 2. nahtaji kujiunga na Patandi
  mbona sioni tar.za application?

  Like

 3. professor Baraka says:

  Kwa waliomaliza kidato cha nne hawaruhusiw kusoma diploma?

  Like

 4. sophie mwalituke says:

  na kama imepata d-6 na c-1 I mean kiswahili-c,hisabati-f,eng-d,biology-d,chemistry-d,geography-d,physics-f,civics-d,history-d

  Like

 5. awamu ya pili mnatoa lini?

  Like

 6. zalia ally says:

  tunataalifiwa lini kujiunga chuoni hapo

  Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: