Home » Habari » ADA MPYA YA MAOMBI YA UDAHILI KWA VYUO VYA UMMA 2017/18

ADA MPYA YA MAOMBI YA UDAHILI KWA VYUO VYA UMMA 2017/18

Advertisements

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

(NACTE)

 


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ADA YA MAOMBI YA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018


Baraza linapenda kuvitaarifu Vyuo na Taasisi za Umma zinazotoa mafunzo yanayosimamiwa na Baraza (NACTE) pamoja na Umma kwa ujumla kuwa, Serikali imeagiza kuwa Ada ya Maombi ya Udahili (Admission Fee) inayotakiwa kutozwa kwa mwanafunzi anayeomba Udahili katika Vyuo/Taasisi za umma kwa mwaka wa masomo 2017/2018 isizidi shilingi Elfu Kumi (Tsh. 10,000/=) kuanzia sasa.

 

IMETOLEWA NA:

OFISI YA KATIBU MTENDAJI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

TAREHE: 28/07/2017

Advertisements

2 Comments

  1. Ally Jumanne says:

    Naombakujua Kunachanguzi La pili La Ualimu Vyoo Vya Serikali Au Hakuna

    Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: