Home » Ratiba » VIPINDI NA ADA ZA USAJILI WA MITIHANI YA NECTA

VIPINDI NA ADA ZA USAJILI WA MITIHANI YA NECTA

Advertisements

Aina ya mtihani Vipindi vya Usajili
Usajili wa kawaida Usajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu
Cheti cha mtihani wa msingi. 1 Januari – 28Februari HAKUNA
Mtihani wa Maarifa 1 Januari – 28Februari 1 Machi – 31 Machi
Mtihani wa Kidato cha Nne 1 Januari – 28Februari 1 Machi – 31 Machi
Mtihani wa Kidato cha Sita 1 Julai – 30Septemba 1 Oktoba – 31 Oktoba
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A 1 Julai – 30Septemba 1 Oktoba – 31Oktoba
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya Sekondari 1 Julai – 30Septemba 1 Oktoba – 31 Oktoba

Ada za Usajili

Aina ya mtihani Ada za Usajili
Usajili wa kawaida Usajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu
Cheti cha mtihani wa msingi.
(Mfumo wa lugha ya kiingereza.)
TZS. 15,000 HAKUNA
Mtihani wa Maarifa TZS. 30,000 TZS. 40,000
Mtihani wa Kidato cha Nne TZS. 50,000 TZS. 65,000
Mtihani wa Kidato cha Sita TZS. 50,000 TZS. 65,000
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti Daraja A TZS. 50,000 TZS. 65,000
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya Sekondari TZS. 50,000 TZS. 65,000

ZINGATIA: Ada hizo hapo juu zinatumika kwa tarehe maalum katika vipindi vya usajili.

Kwa habari zaidi fuata kiunganishi hiki >>>http://www.necta.go.tz/registration#regperiods

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: