Home » Matangazo » NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA 2017/18

NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA 2017/18

Advertisements

TANGAZO LA MASOMO YA UTALII NA UKARIMU 2017/18
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, anawatangazia Watanzania wote
nafasi za Mafunzo ya Ukarimu, Utalii na Uongozaji wa Watalii (Hospitality, Tourism
and Tour Guide Operations) kwa ngazi ya Cheti na Diploma yatakayoanza mwezi wa
Septemba 2017. Chuo kina Kampasi tatu, Bustani na Temeke kwa Dar es salaam na
Kampasi ya Arusha
Mafunzo hayo ni kama ifuatavyo:‐
ORDINARY DIPLOMA IN HOSPITALITY MANAGEMENT
 Kwa Kampasi ya Bustani – Dar es salaam
ORDINARY DIPLOMA IN TRAVEL AND TOURISM
 Kwa Kampasi ya Temeke ‐ Dar es salaam
TECHNICIAN CERTIFICATE IN HOSPITALITY OPERATIONS
 Kwa Kampasi za Arusha na Bustani ‐ Dar es salaam
TECHNICIAN CERTIFICATE IN TRAVEL AND TOURISM
 Kwa Kampasi ya Temeke ‐ Dar es salaam
TECHNICIAN CERTIFICATE IN TOUR GUIDE OPERATIONS
 Kwa Kampasi ya Temeke ‐ Dar es salaam
EVENING PROGRAM (MAFUNZO YA JIONI)
 Mafunzo ya jioni kwa kozi ya ORDINARY DIPLOMA IN HOSPITALITY
MANAGEMENT Kwa Kampasi ya Bustani ‐ Dar es salaam
SHORT COURSES (Kozi Fupi)
 Kozi fupi katika fani ya Utalii kwa Kampasi ya Temeke na Ukarimu kwa
Kampasi za Bustani na Arusha.
SIFA ZA MWOMBAJI KWA NGAZI YA CHETI
 Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne na kuwa na ufauli wa Masomo
manne(4) kuanzia alama ya (D) na kuendelea (Sio Masomo ya Dini)
SIFA ZA MWOMBAJI KWA NGAZI YA DIPLOMA
 Awe amehitimu Kidato sita na kuwa na ufaulu wa Masomo mawili kuanzia
alama ya (Subsidiary) na kuendelea au
 Ngazi ya ‘’Certificate NTA Level 4’’ katika fani za Ukarimu (Hospitality) na
Utalii (Tourism)
UTARATIBU WA KUOMBA
 Kwa Muhula wa Mwaka 2017/2018 maombi yote yawasilishwe moja kwa
moja kwenye Kampasi unayotaka kujiunga.
 Fomu za maombi zimeanza kutolewa tangu tarehe 15/Mei/2017 na
zitaendelea kutolewa hadi 20/Agosti/2017
 INGIA KWENYE MTANDAO WA CHUO CHETU (www.tourismcollege.go.tz)
Utapata maelekezo jinsi ya kuomba na kupakua fomu ya kujiunga au,
FIKA KWENYE KAMPASI ZETU
 Kampasi ya Bustani‐ Mtaa wa Shabani Robert na Samora Avenue, Mkabala
na Wizara ya Afya Posta Dar es salaam,
 Kampasi ya Temeke‐ Mtaa wa Mahunda, Tandika Dar es salaam na;
 Kampasi ya Arusha‐ Mtaa wa Sakina Barabara ya kwenda
Namanga/Nairobi
VITUO VYETU VILIVYOPO MIKOANI KAMA IFUATAVYO:‐
 MIKOA YA KANDA YA KATI Kituo VETA Dodoma(Simu : 0713‐218082)
 MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI Kituo Iringa Mjini Ofisi ya Utalii
Kanda(SIMU : 0719‐296945)
 MIKOA YA KANDA YA ZIWA Kituo ofisi ya Utalii Kanda Mwanza (Simu :
0756676788/0714529191)
 MIKOA YA KANDA YA KUSINI Kituo Veta Mtwara(Simu : 0715223155).
Chuo kina Mazingira mazuri, vifaa vya kisasa na vya kutosha kwa ajili ya Mafunzo
ya vitendo na Waalimu waliobobea kwenye Taaluma. Pia Chuo huwatafutia
wanafunzi wake sehemu za kujifunza kwa vitendo (Field attachment)
Chuo kinatoa huduma za Hostel katika Kampasi ya Temeke na Bustani
wahi sasa, karibuni sana.
KWA MAELEZO ZAIDI;
PIGA SIMU 0657800450/0713436954 NA 222125901/2 KAMPASI YA BUSTANI
SIMU 0717431062 NA 222856862 KAMPASI YA TEMEKE
SIMU 0719887230 NA 272548879 KAMPASI YA ARUSHA

Fomu za Maombi:

APPLICATION_FORM_2017_2018_for_Temeke_and_Bustani

APPLICATION_FORM_2017__2018_for_Arusha

Advertisements

1 Comment

  1. jesca ally adam says:

    nataka kujuwa jinsi ya kujiunga na kozi hizi za utalii na ajira zake zikoje na zinapatikana kwa wepesi

    Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: