Home » Matokeo » ORODHA YA WANAFUNZI WAPYA WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO 2017

ORODHA YA WANAFUNZI WAPYA WALIOPANGIWA KIDATO CHA TANO 2017

Advertisements

MABADILIKO YA SHULE KWA WANAFUNZI WA TAHASUSI YA
PCB WALIOCHAGULIWA KWENDA MADIBIRA SEKONDARI NA
WALIOPANGWA UPYA MADIBIRA SEKONDARI TAHASUSI YA
CBG
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imefanya mabadiliko ya kuwapangia shule
wanafunzi 56 waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika Shule
ya Sekondari Madibira Tahasusi ya PCB na kuwapeleka katika shule
zingine zenye tahasusi (Combination) hiyo ndani ya Mkoa wa Mbeya na
Mikoa ya jirani. Mabadiliko haya ni kwa sababu maalum. Majina na shule
mpya walizopangiwa wanafunzi hao inapatikana kwenye tovuti ya
http://www.tamisemi.go.tz
Aidha, wanafunzi wapya 56 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha Tano
katika shule ya Sekondari Madibira Tahasusi ya CBG kama inavyoonekana
kwenye tovuti tajwa.
Wanafunzi hawa wanapaswa kuripoti katika shule walizopangiwa tarehe
17 Julai, 2017.
IMETOLEWA NA:
KATIBU MKUU
OFISI YA RAIS -TAMISEMI.

ORODHA-YA-MAJINA-YA-WANAFUNZI-WALIOCHAGULIWA-KIDATO-CHA-TANO-MADIBIRA-SEKONDARI-2017

Advertisements

1 Comment

  1. yalojiritz says:

    Asante kwa taarifa. Ninaomba kufahamishwa ni lini majina ya chaguzi za awamu ya pili ya kujiunga na kidato cha tano yatatolewa?

    Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: