Home » Habari » UTARATIBU MPYA WA UDAHILI WA VYUO VIKUU KWA MWAKA 2017/18

UTARATIBU MPYA WA UDAHILI WA VYUO VIKUU KWA MWAKA 2017/18

Advertisements

Kufuatia agizo la Rais Magufuli kwa tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia wanafunzi vyuo vya kusoma, Tume hiyo imetoa utaratibu mpya utakaoanza kutumika mwaka huu.

Utaratibu huo unawataka wanafunzi kutuma maombi moja kwa moja vyuoni badala ya kutuma TCU kama ilivyokuwa awali.

Zaidi fungua kiunganishi hiki >>>>>Change_of_Admission

Advertisements

5 Comments

 1. Tcu mwaka huu’tafadhali tutumie website za vyuo husika katika kuomba nafasi!!!!

  Like

 2. jamani tcu,muangalie kwa jicho la huruma katika kudahli wanafunzi mwaka huu,hbu mfkirie garama ya kwenda kwa kila chuo kuomba nafasi ni bora kutumia website yj vyuo husika……..Tafadhali mtujali mwaka huu

  Like

 3. Enock Gitano says:

  Nawapongeza kwa hilo make wamefungua ukurasa mpya was elimu lakin napendekeza waweke utaratibu mzuri ambao hautaumiza wadahiliwa hasa kifedha, mda na kuwaharibu kifikira.

  Like

 4. […] via UTARATIBU MPYA WA UDAHILI WA VYUO VIKUU KWA MWAKA 2017/18 — Elimu Tanzania […]

  Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: