Elimu Leo

Home » Habari » TANGAZO LA UDAHILI WA CERTIFICATE NA DIPLOMA KWA MWAKA 2017/2018

TANGAZO LA UDAHILI WA CERTIFICATE NA DIPLOMA KWA MWAKA 2017/2018

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

(NACTE)

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Sheria hii inazitaka Taasisi zote zinazotoa elimu ya ufundi kusajiliwa kabla ya kuanza kuendesha mafunzo yoyote. Baraza pia huidhinisha mitaala kabla haijaanza kutumika. Hivyo taasisi zote haziruhusiwi kuanza kutoa mafunzo yoyote bila kibali maalumu kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE).

Baraza linapenda kuwataarifu wadau wa sekta ya Mafunzo ya Ufundi na Umma kwa ujumla kuwa udahili na uchaguzi wa wanafunzi kwa ajili ya masomo ya Astashahada na Stashahada mbalimbali yanayotolewa na vyuo vyote hapa nchini, utafanyika moja kwa moja vyuoni, isipokuwa kozi za afya na ualimu zinazotolewa na  vyuo vya Serikali tu. Hivyo maombi yote ya nafasi za masomo yatumwe kwenye chuo husika.

Udahili wa kozi za Afya na Ualimu katika vyuo vya Serikali  utaratibiwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto; na Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia kwa kushirikiana na Baraza (NACTE). Hivyo maombi ya Udahili kwa kozi za Afya na Ualimu kwa vyuo vya serikali tuyatumwe kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya NACTE (www.nacte.go.tz) au kupitia vyuo husika vya Afya na Ualimu ambavyo vitashughulikia maombi hayo na kufanya udahili kwa njia ya mtandao kupitia ‘Institutional Panel’ zao.

Aidha vyuo vyote vitatangaza au kuwafahamisha moja kwa moja waombaji majina ya watakaochaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali; na wale wa kozi za Afya na Ualimu watatangazwa na Wizara husika na kupitia tovuti ya NACTE.

Baraza linapenda pia kuwafahamisha kuwa Vyuo vitaanza kupokea maombi ya udahili wa wanafunzi kuanzia tarehe 15 Mei, 2017 hadi tarehe 20 Agosti, 2017. Majina ya waliochaguliwa yatatangazwa tarehe 14 Septemba, 2017. Masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 25 Septemba, 2017.

 

IMETOLEWA NA:

OFISI YA KATIBU MTENDAJI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

TAREHE: 10/05/2017


173 Comments

  1. Mammamia Stronglady says:

    #jaman msaada Nina four ya 27 kiswahili C masomo yote yaliyo baki ya arts nina D nisomee nini

    Like

  2. Glory Jackson Urio says:

    Naomba kujua nafasi za masomo kwa mwaka huu ualimu ngazi ya cheti na diploma yanatoka lini?

    Like

  3. Mustafa salum says:

    Naomba kuuliza kuwa kwanafunzi aliehitimu 2014 ambae amepata C 3 B1 na D 1
    Anaweza kujiunga na vyuovya uwalimu wa shule ya msngi na utalatibu upoje

    Like

  4. Fede kij says:

    Jaman mm nimemaliza form four mwaka jana 2020
    na nimepata four ya 26
    na nina c tatu
    yan ya kisw,engl na geo
    na nilisoma masom 7 yan bio,math,kisw,engl,civ,geo and hst
    lakin kat ya aya yote math tu ndo nina f lakin ukiachana na yale matatu mengine yote nina d

    Like

  5. RAHMA YUSUPH IDDY says:

    Mimi naomba kusaidiwa kwa namna yeyote ile na hamu saan ya kusomea ualim chuo chochote lakini sina support na wakufunzi tofauti tofaut kwa ajili ya kunipa darasa zaidi kuhusiana na ufaulu wangu

    Like

  6. Beatus Mohamed says:

    Nimesoma open University of Tanzania kwa Sasa nafundisha shule ya Mt severine iliyopo Biharamulo mkoa wa Kagera

    Like

  7. Beatus Mohamed says:

    Vipi ajira za walimu waliohitimu diploma ya elimu ya awali serikalini

    Like

  8. Huruma saiguran says:

    Nimekipenda xana chuo chenu mungu awabariki sanaa

    Like

  9. James s Simon says:

    Mimi Nina alama D 3 na mwaka mwingine Nina alama D 2 sasa je naweza kuchaguliwa kuwa mwanachuo cha serikali ya mitaa hombolo?

    Like

  10. maick monday says:

    Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nikasome diploma ya labolatory technician kwa lengo la kujiendeleza kielimu je ninaruhusiwa?

    Like

  11. Ian jerry says:

    Samahani kwa usumbufu mm nina C mbil ambazo ni mathematics na english pia masomo mengine nina D kasolo physics nina F alafu nataka nikasome civil engineering .Tatizo langu kubwa nilitaka nijue vyuo vyenye kozi hiyo ninayo itaka.Ahsanteni

    Like

  12. annoancy says:

    naitwa annoancy ninataka kuapply katika kozi za afya, nina physcs c, biology c, chemistry c,dvsn2 nitapata nafasi

    Like

  13. dickson byalgaba says:

    nina c tatu na d tatu yani(geog,kisw,na english c ) na (bios,history na civics d ) yaan iv point 26 je siwezikupata nafasi ya kujiuna na chuo cha ualimu primary ngazi ya cheti??

    Like

  14. rabi fales says:

    Hivi coz

    Like

  15. vedasto says:

    Udahilli wa wanafunzi kwenda vyuoni mwaka wa masomo 2018/19 Lini

    Like

  16. magdalena Andrew says:

    wadau naomba kufahamishwa matangazo ya kujiunga na vyuo vya kilimo ngazi ya diploma 2018/2019 yameshatoka na ni vyuo vipi?

    Like

  17. An intriguіng discᥙssion is worthh commеnt. I think that yyou should publish
    more on this іssᥙe, it mіgght not be a taboo matter Ƅut usually folҝs don’t talk about such
    issues. To the next! Best wishes!! http://www.barcodekitties.com/

    Like

  18. JOSEPH PETER says:

    nina B ya bio, D ya chem, F ya phys,na D ya math naweza jiunga na clinical officer ngaz ya diploma.

    Like

  19. Madua Hussein says:

    Nina c 3 ambazo ni history, GEOGRAPHY, ENGLISH LANGUAGE naweza nikasoma kozi gani kwa masomo hayo

    Like

  20. Raleigh says:

    I am truly thankful to the holder of this site who has shared this wonderful post
    at here.

    Like

  21. Mussa peter says:

    Ivi maombi ya kusoma diploma ya nursing kwa Sie ambao Tayar tumemaliza certificate ya nursing mwaka 2017 na matokeo tayari yametoka, ni Lin tunatuma maombi afu ninatakiwa kuwa na vigezo vip au GPA ipi ili nisome hiyo diploma

    Like

  22. 0768000475 says:

    mimi nina history d geog c na language d masomo yote ya arts d kasoro maths nina f.je naweza kuapply course itanifaa

    Like

  23. Viviane King says:

    Samahani Naomba Kuuliza Nina Chem C,bios C Phys E Je Naweza Kupata Course Ya Medical Laboratory In Diploma, Kwa Chet Cha Olevel

    Like

    • Amina says:

      Nmesoma kidato cha nne na nmepata div2 nikaendelea na frm six nikapata div 4 ya e moja naruhusiwa kuanza certfcat au diploma kw kozi ya ualimu science

      Like

  24. Lwitiko Gladson says:

    habari ninaomba kusaidiwa, inawezekana mtu kunbadiri course toka BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH kwenda BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING? naomba msaada.

    Like

  25. naomba kuuliza Mimi Nina chem D bios C na phy F naweza kupata kozi katika vyuo vya afya

    Like

  26. Liberatus Michael says:

    hv haya majina ya wanafunzi wa certificate in nursing Co na medical lab yashatangazwa?

    Like

  27. Benson says:

    Naomba kuuliza mm nmemaliza kidato cha sita na nmepata dvsion 3-13 nna DDE… Na nmeomba bachelor of laboratories technician… Na nyngne nyng… Je ntapata chuo???

    Like

  28. said says:

    Hi guys hiv kujiunga na ngazi ya diploma kutoka certificate ni vigezo gani wanataka

    Like

  29. miss anthony says:

    Naomba msaada nina dv 4 point 28 ya art je naweza kujiunga na chuo cha kilimo

    Like

  30. Moses peter says:

    Jaman mm Nina ,biology C, chemistry D,physics C, mathematics,D, ninaruhusiwa kuchukua diploma ya nursing

    Like

  31. Martin Kisuba says:

    Nina C chemistry, B bios ,But Physics Nina E vip naruhusiwa omba teaching au Clinical Medicine courses..?

    Like

  32. Abel M Hamis says:

    min nina C,,ya bio na chemistry na B ya English na F hesbu,,,,nlikua nataka kusomea clinical officer,,,je naruhusiwa?

    Like

  33. Liberatus Robert says:

    Samahan nilikuwa naomba kuuliza mim nina C ya Bio,D ya Geo F ya Chem nlkua nmechukua Comb CBG dv iii ya 24 eti naruhusiwa kusomea sayansi ntakapochaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu ngaz ya diploma nmemalza shule 2015 halafu udahili unafanyika kupitia nacte au moja kwa moja chuoni?

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Hilo la kuruhusiwa kusoma Sayansi linaweza kujibiwa vyema chuoni unakotaka kusoma. Kuhusu maombi, kwa vyuo binafsi unaomba moja kwa moja chuoni ila kwa vyuo vya serikali unaomba kupitia NACTE

      Like

    • Maiko Edmund Fedelis says:

      I completed form 4 last year, after declaration of results like scored division 2. But I would like to join with primary teaching course, I have a lot of reasons to so. Honestly I really like to teach primary school especially bush schools, Am I allowed to apply for this field regardless my points?

      Like

    • Maiko Edmund Fedelis says:

      I completed form 4 last year, after declaration of our results I scored division 2. But I would like to join with primary teaching course, I have a lot of reasons to so. Honestly I really like to teach primary school especially bush schools, Am I allowed to apply for this field, regardless my points?

      Like

  34. Mimi wakuu napenda kuuliza hivi kozi ya kuhifadhi kumbu kumbu za afya ngazi ya stashahada inafundishwe kwenye chuo cha bukumbi?

    Like

  35. mulhat says:

    Tafadhali naomba ufafanuzi kwa wale walimu wenye certificate watumie njia gani kujiendeleza?? Kwa kuwa dipaloma in primary education haipo?,

    Like

  36. Eston says:

    Ninauliza hivi diploma yoyote ila ni lini wataanza pewa mikopo ya elimu ka ilivyoahidiwa na mweshimiwawezi wa kwanza mwaka huu

    Like

  37. msaada. kuna chuo nmekichagua nahtaji kubadilisha niweke kingine, je inawezekana au kutatokea shida.

    Like

  38. Ikiwa Mfumo Umesha Funguliwa Lakin Kada Unayo Ombea Kupitia Mtandao Inagoma Kuja Wanaleta Kada Moja Ty, Nin Tatzo? Na Taratibu Zote Tayali Had Kulipia Nacte? Nimeombea Ualim Inagoma Kada Iyo Kuja Naomba Msaada Wakuu Kuusu Ili,,,

    Like

  39. Frank says:

    Lini vyuo vitafunguliwa vya ualimu ?

    Like

    • naombamsaada wakuu niemeendaku apply kwa internet cafe kupitia mtandao leo tar28 process zote zimefanyika hadikulipia hela nlikua naombeakada yaualimu lakin imekuja kugomamwishokwenyeuchaguz wa kadawana leta kada ya health bas ualimu nayoombea hawa lete nin tatizo ,? msaaadaa jamaan!!!

      Like

      • Elimu Tanzania says:

        Ni vyema ukawasiliana na NACTE (www.nacte.go.tz) au chuo unachotaka kuomba nafasi

        Like

        • thicka says:

          Nimeitim,form four 2009 naitaj kutuma maombi ya kujiunga na chuo cha afya au ualim kwa hiyo level naweza fanikisha

          Like

  40. Frank says:

    Lini vyuo vitafunguliwa vya ualimu ?

    Like

  41. Renatus Joachim says:

    kama uliomba udahili wa mwezi wa tatu na ukachaguliwa ila ukashindwa kujiunga na hayo masomo je kwa sasa naweza kutuma tena maombi na kwa njia ipi sababu jina tayari lisha chaguliwa.

    Like

  42. saiman mollel says:

    Mimi Nina mdogo wangu ana dv ya 26 je anawezapata nafasi na kwa baati mbaya chet chake cha kuzaliwa kina jina twafwaut na na jina la shulen je nifanyeje niweze kusolvu

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Aende mahakamani aapishwe kuwa majina yote ni ya kwake au aende RITA abadilishe cheti cha kuzaliwa

      Like

  43. menas says:

    Naomba orodha ya vyuo vya diploma ya sekondar kwa masomo ya arts

    Like

  44. patrick geay says:

    Samahanini jaman hiv kwa wale 2liorisit mtihani 2naruhusiwa kujiunga na vyuo vya afya kwa ku2mia original chet na cha kurisit hata kama nina vigezo? Japo kwa kuunga vyeti

    Like

  45. Thomas keng'anya says:

    nikiapply kutmia smart phone ntafanikiwa

    Like

  46. Tiko says:

    Kwa Mtu aliepata dv two ya 18 na Ana D Physics D Chemistry na B biology na Mwenye dv two ya 20 na Ana C physics C biology Na D ya Chemistry anaweza pata diploma ya Phamaciutical au Medical laboratory?

    Like

  47. halson kanyondwi says:

    naomba anaejua sifa za kujiunga na ualimu ngazi ya chet 2017/2018 anisaidie please

    Like

  48. jamani mimi nina physics d chemistry c na biology c je naweza pata chuo cha afya

    Like

  49. rouben gideon says:

    samahni jaman naombeni msaada,hivi kwa hapa daresalaam ni vyuo gani vya serikali vinavyotoa mafunzo ya ualimu kwa ngazi ya diploma??

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY – KIGAMBONI

      Like

      • Samanini jaman mm Nina B bios.C chemistry C physics na B ya Maths nataka kuomba lugalo clinical medicine,au muhimbili medical laboratory nimemalza form six pia nikiwa na PCB (E,E,D) Je watanichagua????

        Like

        • Raymond says:

          Samahan naomb ushaur kwenu kwa maana nimemaliza cha nne nina D katika masomo haya
          Bios ,hist,civ,na geograph ikiwa english na kiswahi nina C lakin math na chem F hrafu nahtaji chuo naweza kupata wap na kizuri

          Like

      • anord aliponda mtweve says:

        nina division three naweza pata ya njozi ya walimu in certificate or diplomaa in primary education

        Like

Weka mawazo yako hapa