Home » Habari » SIMANZI: MSIBA MZITO KWA TAIFA

SIMANZI: MSIBA MZITO KWA TAIFA

Advertisements

Image result for breaking news

Asubuhi ya leo tarehe 6 Mei, 2017 imeripotiwa ajali mbaya iliyotokea Mlima Rohotia, Karatu mkoani Arusha ikuhusisha basi la Wanafunzi ambao walikuwa wanakwenda kufanya mtihani wa ujirani mwema.

Taarifa za awali zinasema kuwa Dereva wa basi la wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent alishindwa kuliongoza vizuri basi hilo wakati akikata kona kwenye mteremko hivyo likaingia kwenye korongo.

Kamanda wa Polisi Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha kutokea ajali hiyo akisema taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo zitatolewa baadae lakini taarifa zinasema Watoto 32, Walimu 2 na dereva wamefariki dunia.

Habari katika picha ni kama zinavyoonekana hapo chini (Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza kwa kutazama picha hizo)

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: