BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA(CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)
KWA AWAMU YA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi liliratibu zoezi la udahili kwa waombaji wa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) kuanzia tarehe 23 Februari, 2017. Zoezi la maombi ya udahili lilifungwa rasmi tarehe 06 Machi 2017 ili kuruhusu uteuzi wa kwa waombaji wa kozi hizo.
Baraza linapenda kuwaarifu waombaji wa kozi za Astashahada na Stashahada; na umma kwa ujumla kuwa, matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali yametangazwa tangu tarehe 25 Machi 2017kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) uliotumika kufanya maombi ya udahili. Waombaji wanashauriwa kutembelea kurasa zao (profiles) za kuombea udahili kupitia CAS ili kuona kama wamechaguliwa.
Ili kutembelea ukurasa wako, waweza pia kubofya hapa.
Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
Tarehe: 26 Machi, 2017
Naomba kujua jinsi ya kupata chuo ulichopangiwa ukiwa umetuma maombi kupitia nacte
LikeLike
Subir tukushaur
LikeLike
naomba ushauri wenu kwakipindi hiki ni course zipi ambazo nikisomea ajira zinapatikana angalau?? naomba ushauri
LikeLike
Mm nimemaliza certificate ya ualimu wa shule ya msingi nakupata credit ya 3.8 mwaka 2017 nataka kujiunga na diploma ya ualimu inawezekana January hii au nimechelewa
LikeLike
Sory nimemaliza 2016
LikeLike
mie nauliza wapi nitapata tarehe ya kwenda shuleni pamoja na gharama zake maana sijapata nimepagwa chuo ualim mandaka
LikeLike
Soma hapa https://edutztz.wordpress.com/2017/09/18/waliochaguliwa-kozi-za-certificate-na-diploma-za-ualimu-2017/
LikeLike
samahan jamani nilikuwa nauliza kuhusu majina waliochagulia kujiunga na vyuo vya afya kama.yameshatoka
LikeLike
Soma hii habari hadi mwisho https://edutztz.wordpress.com/2017/09/20/udahili-wa-vyuo-awamu-ya-pili-ruksa-hadi-tarehe-1-oktoba/
LikeLike
samahani nilikuwa nauliza kuhusu matokeo ya vyuo vya afaya 2017/2018 yameshatoka au bado
LikeLike
Hatujayapata, tukiyapata tutawawekeeni hapa
LikeLike
Naomba jinsi ya kupata matokeo yangu ,maana sijui nianzie wap
LikeLike
jaman bado hawajatoa orodha ya walio chaguliwa na kujiunga na vyuo vya Afya 2017-18 coz mm natafuta sion na kama tayar nitayapateje
LikeLike
Jamani post xa kujiunga na chuo kwa watu diploma na certificate yameshatoka!??kama Tatar niingilie wap niwezekuyona??
LikeLike
majina ya walochaguliw kujiunga na vyuo vya afya 2017/18 yanatok lin
LikeLike
nauliza majina ya walochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya 2017/18 yanatoka Lin?
LikeLike
nauliza majina ya walochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya 2017/18 yanatok lin
LikeLike
tokeo bado wazee wangu watu roho juu
LikeLike
nimemaliza kidato cha sita ninaufaulu wa principal moj D je nini chaguo sahihi kwangu?
LikeLike
Mimi naitwa anna nilichaguliwa na nacte mwaka jana katika chuo cha hagafilo sikwenda kwa sababu ya matatizo yaliyonikumba kwa hiyo mwez huu nilienda mtandaoni kuaply vyuo vingine lakini sio kwa fakati ile ya mara ya kwanza nikaambiwa namba yangu inatumika hapo chuon na mim ni mwanafunzi wa hicho chuo nimejarbu kuongea na utawala naona wanasema inashindikana na mimi nataka kusomea elimu sio naomba mnisaidie
LikeLike
Mimi nimepata C biolg ,D phy,D chem,D maths,C,English nauliza kuomba mpaka upitie kwenye vyuoni unakota kusomea au ?
LikeLike
Unaomba chuoni moja kwa moja isipokuwa kwa kozi za afya na ualimu kwenye vyuo vya serikali ndo unatakiwa kuomba NACTE
LikeLike
Naomba kujua Je unaweza kujisajiri Nacte kwa ngazi ya certificate pasipokupitia chuo chochote (utumie centre ya kufanyia mtihani) .
Kama inawezekana,ni vituo gani vunavyokubaliwa na Nacte kwa ngazi ya Diploma na certificate?
LikeLike
Je? maomb yatatumwa kwa tsh ngapi na nilazima kuenda kutuma chuoni au hata internet cafe au kwa hata simu yenye uwezo?
LikeLike
nina C ya bioz D ya chem D ya phys D ya math na F ya english naweza pata certificate ya nursing na kulingana na vigezo walivyoweka vya CCD alaf tena na f ya engl msaada please
LikeLike
Yes coz nursing course lazma uwe na pass principle 3 ambzo znaanzia na D na kuendlea kwa maxom ya science ambyo ni chem,bios and phy kama ulvyopat wew xo fanya maomb kwa mujibu wa tangazo yaxhafunguliw tar15 mei ndugu.
LikeLiked by 1 person
nauliza four ya 26 inaruhusiwa kusomea ngaz ya ualim wa shule ya msingi
LikeLike
nataka kujua muhula wa masomo 2017/2018 intake zinaanza mwezi gani na kwa mwaka huu zipo intake ngapi?
LikeLike
Tuwe na subira hadi pale NACTE watakapotoa taarifa rasmi tutawajuza hapahapa
LikeLike
Naomba kuuliza kwa vyuo vya serikali ngaz ya 4m 4 waweza kuapply Kupitia nacte ili kusoma certificate & diploma kwa pamoja na baada ya miaka 3 kumalIza
LikeLike
Unaomba kwanza ngazi ya certificate mwaka mmoja ukimaliza unaunganisha diploma mwaka unaofuatia ambayo utaisoma miaka miwili. Mara nyingi hili linawezekana ikiwa utasoma diploma chuo hicho hicho ulichosoma certificate ila kama utataka kusoma diploma chuo tofauti na kile ulichosoma certificate itakulazimu ukae tena mwaka mmoja mtaani ili kuweza kufanya hivo
LikeLike
Mbona Kimya Sana Hata Sijibiwi
LikeLike
Lini Wanatoa Post Na Udahili Lini
LikeLike
Tuwe na subira, watakapofungua mfumo wa udahili tutawataarifu hapahapa
LikeLike
mbona sioni orodha ya vyuo vya diploma mwezi huu wa tano 2017?
LikeLike
Bado NACTE hawajafungua dirisha la udahiliudahili, endelea kuwa nasi kwa habari zaidi
LikeLike
ukiwa umepata c ya biology na chemistry alafu physics D unaweza kwenda kusoma diploma ya pharmacy
LikeLike
Mfumo wa NACTE unamruhusu mhitimu wa kidato cha nne kusoma kwanza Certificate kabla ya Diploma. Hata hivyo upo uwezekano kwa baadhi ya vyuo kukudahili katika ngazi ya diploma inayochukua mda mrefu zaidi ya ule wa kawaida.
LikeLike
vipi lakini mbona transfer request hamna hii intake
LikeLike
application zinaanza lin?! kwa mwaka 2017/2018?!!
LikeLike
Lini vyuo vinafungiliw kwa ajir ya kuapply
LikeLike
NACTE watatoa tangazo nasi tutawawekea hapa, endelea kujumuika nasi
LikeLike
masomo ya march april intake 2017 yanaanza mwezi gani msaada jaman
LikeLike
Inategemea na chuo ulichoomba. Je, umepata udahili?
LikeLike
Diploma ya msingi imefutwa au bado inaendelea kutolewa?
LikeLike
Nataka kujua lini mfumo wa CAS utafunguliwa kwa ajili ya intake ya septemba 2017 kwa wanaomba nafasi za masomo
LikeLike
Like ukurasa wetu wa facebook au jiunge (follow) blog hii ili upate taarifa mara tu NACTE watakapofungua mfumo huo wa CAS
LikeLike
Naomba kufahamu kuhusu stashahada ya elimu kwa walimu wa shule za msingi, ipo ya kiswahili na ya kiingereza sielewi ni kwa nini zipo mbili kama lengo ni moja, Pia maombi ya kujiunga na vyuo kwa mwaka wa masomo 2017/2018ni lini?
LikeLike
Kuna english medium na swahili medium primary schools, itakuwa ndo sababu ya kufanya hivo. Kuhusu maombi, kwa kawaida ni mwezi mei lakini kwa uhakika like ukurasa wetu wa Facebook au fuata (follow) blog hii upate tarrifa mara tu NACTE watakapotangaza nafasi hizo.
LikeLike
Be proactive guys – it looks as a joke! Indeed, it’s not a joke – people are struggling to get information and there is no much information on your website nor updating information on your site. But, when people try to find out – you are making a joke by answering nuisances-grow up! Ndiyo maana tunazaurika in international level kuhusu elimu yetu because people who are in the position (like you) are not serious – instead, are there just for being paid not working…sad!
LikeLike
Which information are you missing Timo? cool down and be open, tutakusaidia kwa kadri ya uwezo wetu (no body pays us).
LikeLike
Naomba unijuze je, , hiyo diploma in primary ipo au haipo kwa mwaka wa masomo 2017/2018??? Please answer it, ,, Mmetuacha njia Panda
LikeLike
Hatuna mamlaka ya kutuwezesha kujua hilo. Elimu Tanzania ni wahabarishaji tu wa kile kinachotokea kwa wakati husika. Ikitokea tumepata taarifa inayohusiana na swali lako tutawajulisheni.
LikeLike
Kama hujachaguliwa utafanyaje?au kuna second selection?
LikeLike
Asante,mim ninahtaji kuhama chuo na coz nilyochaguliwa ila sijajua jinsi ya kuhama kwa hii intake itakuwaje?
LikeLike
Wasiliana na chuo unachotaka kuhamia, uwaeleze nia yako
LikeLike
Ahsante kwa taarifa nzuri.
LikeLiked by 1 person
Mm nilisikia kuwa Luna taarifa ya kuaply ualimu intake ya julai ngaz ya chet na diploma kupitia mufumo wa CA’s VP apo ni keel???
LikeLike