Home » Habari » ANGALIA HAPA ORODHA YA VYUO VILIVYORUHUSIWA KUDAHILI DIPLOMA NA CERTIFICATE KWA MWEZI MACHI NA APRILI

ANGALIA HAPA ORODHA YA VYUO VILIVYORUHUSIWA KUDAHILI DIPLOMA NA CERTIFICATE KWA MWEZI MACHI NA APRILI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

(NACTE)

ORODHA YA VYUO VILIVYO RUHUSIWA KUDAHIRI WANAFUNZI KWA

KIPINDI CHA MARCH / APRIL, 2017 KWA MWAKA WA

MASOMO 2016 / 2017


BOFYA HAPA KUPATA ORODHA HIYO

Advertisements

13 Comments

 1. Samson mzuki says:

  Naomba kuuliza ,masomo ya diploma kwa mwalimu aliye kazini yapo,au mfumo huu umefutwa? Na kama utakuwepo vyuo gani mfano vinachukua mwalimu ,au lini utakuwa Waz maana twahangaika sana plz

  Like

 2. Samson mzuki says:

  Naomba kuuliza ,masomo ya diploma kwa mwalimu aliye kazini yapo,au mfumo huu umefutwa? Na kama utakuwepo vyuo gani mfano ,au lini utakuwa Waz maana twahangaika sana plz

  Like

 3. Praygpray says:

  Jamani naomba kuuliza,mtihani wa nacte unaofanywa na kozi za afya, unafanywa na vyuo vyote au ni baadhi tu?Nakama ni vyote mi chuo ninacho soma sijaambiwa kabisa suala hilo nifanya he??NAOMBA USHAULI WENU JAMANI

  Like

 4. Gerson says:

  Majina ya vyuo vya Maabara, (Nyanda za juu kusini)

  Like

 5. Yonah Mwakapalala Anosisye says:

  Nafasi Za Diploma Of General Agriculture Kwa Vyuo Vya Serikali Bado Hazijatolewa Kwa Mwaka 2017/2018 ?
  Kama Zikitoka Namba mnijulishe

  Like

 6. Wadau naomben udahil ukianza msinitenge coz nina d nne natak nisomee ngaz ya cheti uhasibu,biashara na utawala _(ABA)

  Like

 7. Sabinius john says:

  mbona nasikia kuna baadhi ya vyuo vilivyo sajiliwa na (NACTE) pia vina Dahili wanafunzi mwezi wa saba (7)
  mfano: chuo cha JORDAN UNIVERSITY COLLEGE (morogoro)
  Au kila chuo kinataratibu zake za kudahili wanafunzi???

  Like

  • Elimu Tanzania says:

   Vyuo vingi vinadahili mara mbili kwa mwaka. Mwezi wa 3 hadi 4 na mwezi wa 7 hadi 10. Ndiyo maana wahitimu wa mwaka 2016 hawakuwa na nafasi katika udahili unaoendelea sasa, watadahiliwa kwenye huo unaoanza julai na kuendelea

   Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: