Elimu Leo

Home » Matangazo » TANGAZO JUU YA VYUO VINAVYOTAKA KUDAHILI WANAFUNZI WA CHETI NA DIPLOMA KWA MWEZI MACHI NA APRIL

TANGAZO JUU YA VYUO VINAVYOTAKA KUDAHILI WANAFUNZI WA CHETI NA DIPLOMA KWA MWEZI MACHI NA APRIL

NACTE LOGO

PUBLIC NOTICE

Admission for March/April 2017 Intake through Central Admission System (CAS)

The National Council for Technical Education (NACTE) is a statutory body established under the National Council for Technical Education Act, Cap. 129, to oversee and coordinate the provision of technical education and training in Tanzania.  Under the establishing Act, in order to attain and maintain the status of a training provider, all institutions are required to be registered, accredited and have their curricula approved by the Council. Institutions are not allowed to admit students and start offering any programme without the approval of the Council.

 

The Council has received requests from Technical Institutions offering Certificate and Diploma programmes to have March/April 2017 Intake for the academic year 2017/2018. The Council, has therefore decided to make a public notice to inform all Institutions offering Certificate and Diploma programmes  intending to have March/April 2017 Intake for the  academic year 2017/2018  to submit their intention. The March/April 2017 Intake is meant for Certificate and Diploma programmes only.

The request for having the March/April 2017 Intake should clearly specify:

  • The number of students enrolled in the requested Certificate and/or Diploma  programme who are registered as first year for 2016/17 academic year;
  • Capacity of the institution in the requested  programme;
  • Empty slots that need to be filled in order for the institution to acquire full capacity; and
  • Whether the college has enough infrastructure and staff to manage two intakes.

Please be informed further that, Central Admission System will be open for applications from 23rd January 2017 to 6th March 2017.

The submission of notice of intention and commitment for having March/April 2017 Intake for the academic year 2018/2019 should reach the Council by 15th January 2017.

Issued by:

OFFICE OF THE EXECUTIVE SECRETARY

NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION (NACTE)

DATED: 4TH JANUARY 2017


42 Comments

  1. Alfredy Benjamini says:

    Me nina ufaulu wa four ya 28 nini saada wenu kwangu

    Like

  2. kelvin says:

    Samahani ninamdogo wangu kapata D nne za kiswahil, civics, geography na english anaweza kusomea nin your help please

    Like

  3. Rauhiya says:

    Naomba kujua me nmepata D ya bio D ya english na c ya kiswahil nimehitimu2018 naweza somea nursing au coz gani apo napata naomba mnisaidie kujua

    Like

  4. Charles Erasto says:

    H

    Like

  5. Rachel samson says:

    Tungependa kujua udahili wa awamu nyingine utafunguliwa Lin?

    Like

  6. kija says:

    habari ? naomba kujua utofauti kati ya kozi ya radiology na biomedical engineering

    Like

  7. kama nina physics d chemistry c biology c naweza somo kozi gani ya afya

    Like

  8. Glory E Ngoitiko says:

    Jamani Mimi nili apply ngazi ya certificate ya nursing mwaka 2016 na nilimaliza mwaka 2015 ufaulu wangu ulikuwa ni iv ya 28 chemistry D,biology D,math na phy F ,history C,civics D,geography F kiswahili D,English D je ninaweza Ku apply nikapata au ni kozi gani ya afya nyingine naweza Ku apply

    Like

  9. aminiel amos says:

    C ya bios D ya chemistry C ya kiswahil D ya geography F ya math na phyz ndo ninazo je naweza soma koz gani ya afya

    Like

  10. aminiel amos says:

    jamani naomben msaada ni na C ya bios C ya kiswahil D ya chemistry D geography F ya phyz na math ni koz gan ya afya naweza kuisoma

    Like

  11. Mpaji Godwin says:

    NAWEZA KUJIUNGA NA CERTIFICATE KWA SASA AU NITAKUWA NMECHELEWA??
    YAANI 2017/2018??

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Huu ni mda wa kutuma maombi kwa ajili ya mhula utakaoanza mwezi septemba. Omba sasa hujachelewa

      Like

  12. Leticia Mwita says:

    naomba kujua kama naweza kujisajili mtihani wa form IV private mwezi huu wa tano

    Like

  13. gloria says:

    Habari
    Kama ulichaguliwa intake ya April na utapata dharura hujaenda je awamu ya pili unaweza kuomba maombi upya ulichaguliwa?

    Like

  14. abasi kipande says:

    habari?
    vipi kuhusu nafasi za maombi ya ualimu zitatolewa lini

    Like

  15. Ruben Emanuel says:

    habari naombeni ushauri….nina ufaulu wa dv 3 nina Chemistry D,Biology D, Physics D, Mathematics C, Geography D, English C, yaan masomo yote nina PASS nmesoma masomo tisa, je! naweza paya kozi gani wizara ya afya na kwa ngazi gani!??…..nmemaliza 2013

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Kozi yoyote ya afya unaweza kusoma ila kwa sababu ya level yako ya elimu utalazimika kuanza na certificate.
      Kwa msaada zaidi jaza fomu yetu ya kutafuta chuo/shule kwenye menu hapo.

      Like

  16. chuo cha wanyamapori pasiansi mwanza kina chukua wana funzi wenye ufaulu ghan?

    Like

  17. ndg zang mimi nina ufaulu huu bio c geo d eng d kisw d history d civ e na maths f nina weza kupata nafas ktk chuo cha wanyama pori cha serikali?

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Ndiyo unapata chuo cha Pasiansi kama inavyoonekana hapo chini.

      THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
      MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM
      WILDLIFE DIVISION
      PASIANSI WILDLIFE TRAINING INSTITUTE
      ADMISSION REQUIREMENTS
      1. Technical Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement (TCWLE) Course:
       Candidates must have completed and passed secondary in Ordinary level (O-level) in four subjects with C in both Biology and Geography Candidates with Advanced Certificate of Secondary Education Examination
      (A.C.S.E.E) or an appropriate equivalent Certificate/Diploma obtained from a college which is fully
      registered by NACTE with credits in Biology and Geography at O-level will have added advantage.
       Candidates with a Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement NTA Level 4.
       Candidates should be certified physically and mentally fit by a recognized physician. This is due to the fact that the course entails paramilitary training

      2. Basic Technical Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement (BTCWLE) Course:
       Candidates must have completed and passed Ordinary level (O-Level) with at least four (4) passes
      including passes in Biology and Geography or
       Holders of a three-month short course certificate in wildlife management and law enforcement of
      PWTI or possession of National Vocational Award level III(NVA III) in relevant field from
      recognized institution registered by VETA
       Candidates should be certified physically fit by a recognized physician. This is due to fact that the
      course entails paramilitary training.

      3. Three-month Special Course in Wildlife Management and Law Enforcement:
       Minimum requirement is for the Candidates who completed and passed Ordinary level (O-Level)
      with at least four (4) passes. Candidates with passes in Biology or Geography have added
      advantage.
      NB: Sometimes minimum requirements for Special course raises depend on the number of
      applicants while the Institute has limited number to students to be registered for Short Course
      Program.
       Candidates with standard seven plus relevant work experience in the Wildlife sector, WMA’s,
      District Councils and NGO’s. This is qualification is only for Building Capacity Special Course in
      Wildlife Management and Law Enforcement.
      FEE STRUCTURE:
      COURSE AMOUNT (TSHS)
      Technical Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement (TCWLE) – 3,000,000.00
      Basic Technical Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement (BTCWLE) Course: – 2,800,000.00
      Three-month Special Course in Wildlife Management and Law Enforcement: – 1,861,000.00
      NB: The fees include full boarding, uniforms and tuition fee (field trainings).

      Like

  18. Amina Nzoya says:

    Kwa intake hii yaMwez 3/4 hakunakuhama coz na chuo?

    Like

  19. richard msoma says:

    Jaman hakuna kujiunga na diploma ya ualimu mwaka 2017?

    Like

  20. Amina Nzoya says:

    Habari za mida hii wapendwa? Kwa waliochelewa kuomb kwa hii intake ya murch hawawez kuomb direct chuo husika? Naomb ushaur wenu

    Like

  21. Rose Saniel says:

    Sijaelewa vizur.. inamaana watakaoapply sasa ivi vyuo vya afya nafas hazipo?

    Like

  22. Rose says:

    Sijaelewa vizur.. inamaana watakaoapply sasa ivi vyuo vya afya nafas hazipo?

    Like

  23. Eddiemund says:

    Habarini za kazi.!
    Mie nlihitimu mwaka 2013 na kupata IV ya 38 uk nkiwa na D ya Kisw,Bioz,Eng na Geog uku masoma mengine yote matano Phyz,Chem,Math,Hist na Civ nkiwa na E.
    Mwaka jana nlifanya PC na kupata IV ya 27 uk nkiwa na C ya Engl na D 6 na F mbili ya Phyz + Chem.! Nilikua naomba ushauri wenu juu ya kozi ya kwenda kuchukua.

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Ili kujiunga na chuo chochote katika ngazi ya certificate ni sharti uwe na angalau D nne na kuendelea, kuhusu kozi ni juu yako kuchagua kozi unayoipenda (Ndoto yako unatamani kuwa nani ndiyo itakayokuongoza kozi ya kusoma)

      Like

  24. mulhat says:

    Udahili Elimu utaanza lini? ??

    Like

  25. victus kweka says:

    Je community health watakuwepo kati ya hizo intake

    Like

    • Elimu Tanzania says:

      Hapana, baada ya kupitia orodha ya kozi zilizoainishwa na NACTE hakuna chuo chenye nafasi ya Community health kwa intake hii ya Machi/Aprili

      Like

  26. evans says:

    Mie nina iv 33 nimehitimu2013-14 ufaulu wang history D georgeD kiswahili C civics D bios C chemistry D english D hesab F je naweza kuchaguliwa kujiunga na ualimu ngaz ya chet2017-18 naomba ushauri jaman

    Like

  27. lesha shaa says:

    Kwahiyo kunauwezekano wa kuwepo kwa muendelezo wakuwepo kwa march/April intake kwa baadhi ya vyuo??!

    Like

Weka mawazo yako hapa