Home » Habari » BODI YA MIKOPO YATOA ORODHA YA WADAIWA SUGU WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI

BODI YA MIKOPO YATOA ORODHA YA WADAIWA SUGU WATAKAOFIKISHWA MAHAKAMANI

Advertisements

Accounting treatment for Bad Debt Recovered

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995. Wadaiwa sugu hao wanapewa siku 30 kulipa madeni yao ndani ya muda huo kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa na wahusika kulazimika kulipia gharama za kuwasaka na kuendesha kesi.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0763 459 165 au 0767 513 208 au tembelea ofisi zetu za Makao Makuu, Dar es salaam au ofisi zetu za kanda zilizopo Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Arusha.

Bofya link hizo hapo chini kuona majina hayo

Orodha 1

Orodha 2

Orodha 3

Orodha 4

Orodha 5

Advertisements

2 Comments

  1. sumuni samson says:

    bado wegine hawapo hapo kwenye hayo majina

    Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: