Home » Matokeo » MATOKEO DARASA LA SABA (PSLE) 2016/17

MATOKEO DARASA LA SABA (PSLE) 2016/17

Advertisements

examresults

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 8 na 9, 2016 huku jumla ya watahiniwa 795,739 walisajiliwa kufanya mtihani huo.

Akizungumza mbele ya wanahabari, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 2.52 ukilinganishwa na ule wa mwaka jana (2015).

Shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema iliyoko mkoani Shinyanga.

Kuyatazama bonyeza hapa >>> matokeo ya darasa la saba 2016/17

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: