Home » Habari » TCU wameshusha ufaulu wa kujiunga na degree kwa wenye diploma na FTC

TCU wameshusha ufaulu wa kujiunga na degree kwa wenye diploma na FTC

Advertisements

tcu-june1

Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kushushwa kwa viwango vya ufaulu wa wahitimu wa diploma na FTC wanaotaka kujiunga na masomo ya ngazi ya shahada.

Wahitimu wa diploma sasa wanapashwa kuwa na ufaulu wa wastani wa 3.0 badala ya ule wa awali wa 3.5 na wale wenye FTC wanapashwa kuwa na daraja C badala ya B la awali.

Kwa taarifa zaidi fungua link hii hapa chini

revised_admission_criteria_for_diploma_2016

Advertisements

2 Comments

 1. fadhil Mdede says:

  Mm nataka kujiungaa degree mudaa umepitaa au badoo mnaendeleaa tenaa atiii vyieee

  Like

  • Elimu Tanzania says:

   Kwa sasa umechelewa maana dirisha la udahili limeshafungwa hadi mwaka mwingine wa masomo. Endelea kutembelea Elimu Tanzania kwa habari zaidi za kielimu.

   Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: