Home » Fursa » Ufadhili wa Masomo kutoka Mo Dewji Foundation kwa mwaka 2016

Ufadhili wa Masomo kutoka Mo Dewji Foundation kwa mwaka 2016

Advertisements

file-page1

Mo Scholars


The Program: The Mo Dewji Foundation provides scholarships to outstanding high school students planning to pursue higher education, which cover four years of undergraduate college. The scholarship program, offered in collaboration with the University of Dar es Salaam, is intended to create a community of passionate students and provide them with the capacity to achieve their greatest potential.

Focus Areas: Education

Please be sure to read the program overview before applying to the program. If you feel you meet our eligibility criteria, you may download and complete the application form. Send this form and all other application materials (listed on the application) to moscholars@modewjifoundation.org by September 20th, 2016 at 5:00pm EAT.

Bofya hapo chini kutuma maombi

Ingia hapa >>>

Advertisements

3 Comments

 1. Godfrey says:

  Jaman mbona huo ni msaada kwa watu waliofikia degree level tuu? Kwa majina naitwa Godfrey Felix nimemaliza kidato cha sita mwaka 2017 nipo nangoja matokeo na naamin Kama alivyopanga Mungu yatakuja vizuri.Lakn sasa hata yakija vizuri sina MTU wakuniendeleza tena kwa sababu nilikuwa naishi na mama naye amekwisha fariki mwezi wa pili mwaka 2017. Katika advance nilichukua Geography,History na Language(HGL).Ombi langu nikuomba msaada kwa wakuweza kuendelezwa na masomo ya Elimu ya juu namba zangu 0767642958
  .

  Like

 2. irisyahblog says:

  Hiyo ina wahusu wa elimu ya juu peke yao? Mimi naitwa Hamadi Nyengo kutoka Morogoro ni muhitimu wa kidato cha nne 2015 shule ya secondary Kingolwira na kupata division 3 ya pointi 25. Siku bahatika kuchaguliwa kwenda advanced level. Ila nikawa nina nia ya kwenda chuo kwenda kusomea cheti katika kozi za IT ila kutokana na hali ya maisha nimekua mtu wa nyumbani! Nimekua na ndoto nyingi ambazo kila siku huwa zina ni boost kuenderea kutafuta misaada mbali mbali bila mafanikio! Naomba kujua kwamba wanaopata ufadhir ni wanao maliza advanced level tuuuu???

  Liked by 1 person

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: