Home » Habari » Wanafunzi wote wa sekondari kusoma sayansi

Wanafunzi wote wa sekondari kusoma sayansi

Advertisements

th

Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako amesema kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne katika mkakati wa kuelekea nchi ya viwanda. Utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena.

Chanzo EATV

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: