Home » Habari » Hii ndo sababu ya kusitisha pesa za kujikimu wakati wa field

Hii ndo sababu ya kusitisha pesa za kujikimu wakati wa field

Advertisements

Video kwa hisani ya Michuzi TV

Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amesema kuwa uhakiki wa wanafunzi bado unaendelea na kwa wale wanafunzi ambao hawajahakiki majina ya wapo kwenye hatari ya kufutiwa mikopo.

Amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa wanafunzi wengi ni hewa kwa kuwa kuna chuo kina wanafunzi 130 wanatakiwa kuhakiki lakini mpaka sasa ni nane tu ndio wamehakiki licha ya kutahadharishwa kufutiwa mikopo yao.

Amesema kwa wanafunzi wanaoenda field fedha zao za kujikimu zimesitishwa kwa kuwa jana walifanya uchambuzi kwenye vyuo viwili na kukuta wanafunzi marehemu na waliofukuzwa wameombewa fedha za field

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: