Home » Matokeo » Matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2016 yako hapa

Matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2016 yako hapa

Advertisements

examresults

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita pamoja na yale ya kozi za cheti na diploma katika fani ya ualimu.

Kwa mjibu wa msemaji wa TAMISEMI, ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.

Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,-Arusha
2.Feza Boys,-Dar es Salaam
3.Alliance Girls,-Mwanza
4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6.Tabora Boys,-Tabora
7.Kibaha,-Pwani
8.Mzumbe-Morogoro
9.Ilboru,-Arusha
10. Tandahimba-Mtwara

Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang’ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja

Fuata link hapo chini kuyaona!

Matokeo kidato cha sita 2016

Matokeo Diploma ya ualimu (DSEE) 2016

Matokeo Certificate ya ualimu (GATCE) 2016

 

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: