Home » Teknolojia » Hii hapa video ya Adam, mbunifu wa Helikopta ya Tunduma

Hii hapa video ya Adam, mbunifu wa Helikopta ya Tunduma

Advertisements

Jina la Adam limekuwa maarufu kwa siku za karibuni kutokana na kusambaa habari juu ya ubunifu na uundaji wa ndege aina ya Helikopta katika gereji lake binafsi huko mjini Tunduma katika mkoa wa Songwe. Elimu Tanzania tumekuwekea video ikimuonesha mbunifu huyu akitoa maelezo juu ya habari hii inayofungua ukurasa mpya katika tasnia ya Teknolojia nchini.

Msikilize hapo chini akihojiwa juu ya ubunifu wake huo.

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: