Home » Habari » Bweni laungua Chuo cha Ushirika Moshi

Bweni laungua Chuo cha Ushirika Moshi

Advertisements

Jumamosi ya tarehe 9 July 2016, kumetokea ajali ya moto katika moja ya mabweni ya chuo kikuu cha Ushirika moshi (MoCU). Moto huo ulioonekana kutokea kwenye moja ya chumba cha bweni hilo haukusababisha madhara ya kimwili kwa mtu yeyote mbali ya vitu vya wanafunzi na mali za chuo zilizomo ndani ya Bweni hilo kuungua.

Moto huo unaoaminika kudumu kwa takribani masaa manne, ulidhibitiwa kwa juhudi za wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho na baadaye jeshi la zimamoto la mjini Moshi.

Chanzo cha moto hakijajulikana hadi sasa, tutawajulisha punde tu tutakapopata taarifa maalumu kutoka kwa uongozi wa chuo.

Picha na video fupi kwa hisani ya MillardAyo.com

IMG-20160629-WA0047 IMG-20160709-WA0038 IMG-20160709-WA0044 IMG-20160709-WA0045

Video fupi ikionesha tukio hilo

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: