Home » Habari » Majibu ya Ndalichako juu ya mabadiliko ya mfumo wa madaraja ya ufaulu

Majibu ya Ndalichako juu ya mabadiliko ya mfumo wa madaraja ya ufaulu

Advertisements

Dkt. Ndalichako ameyasema hayo alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Chadema Susan Lyimo aliyetaka kujua ni kwa nini serikali ilibadilisha mfumo wa kusahihisha kutoka ‘Division’ kwenda ‘GPA’ baada ya kuona haufanyi vizuri ni utafiti upi uliwafanya kubadili tena kutoka ‘GPA’ kwenda ‘Division’ .

Waziri Ndalichako akijibu swali hilo amesema utaratibu wa kubadilisha mfumo huo ulitokana na maoni ya wadau na baada ya kulalamikiwa sana na wadau wa elimu kwamba GPA kwa upande wa shule za sekondari unaleta mkanganyiko mkubwa ikabidi serikali iubadili.

Aidha Waziri Ndalichako amewataka wananchi kujenga tabia ya kutoa maoni yao inapotokea hali ya kubadilisha mifumo mbalimbali ya serikali kwani serikali hutoa nafasi hiyo ili baadaye kuepuka malalamiko ambayo husababisha kuyumbisha mpango husika.

Chanzo: EATV

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: