Home » Habari » Wanachuo wa Mzumbe wachangishana na kutoa madawati kwa shule ya msingi

Wanachuo wa Mzumbe wachangishana na kutoa madawati kwa shule ya msingi

Advertisements

Wanachuo wa mwaka wa kwanza katika fani ya menejimenti chuo kikuu cha Mzumbe wakiongozwa na mkufunzi wao Bwana Aloyce Gervas, wameendesha tukio la kuchangishana fedha na kufanikisha mradi wa kijamii kwa kutoa jumla ya madawati 20 kwa shule ya msingi Mindu iliyoko mkoani Morogoro.

Madawati hayo yamekabidhiwa kwa shule hiyo na mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Dr. Rajabu Rutengwe

Matukio katika picha

12670920_939775679462892_530835456947080_n

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajabu Rutengwe akiwasili shuleni Mindu.12829204_939775939462866_5347202390590144680_o

Kaimu makamu mkuu wa chuo cha Mzumbe Prof. Josephat Itike akikabidhi pesa taslimu milioni 5 pamoja na madawati 20 kwa mkuu wa mkoa.

12718052_939774879462972_2271241272031698437_n

Wanachuo wa Mzumbe wakiwa na mkufunzi wao Bwana Aloyce Gervas ( mwenye tai).


12814268_939775629462897_2609829199603389851_n

Wanafunzi wa shule ya msingi Mindu wakiimba kwenye hafla hiyo iliyofanyika shuleni 12821592_939775879462872_5966195770013611996_n

Sehemu ya madawati yaliyotolewa katika hafla hiyo.

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: