Home » Tanzia » TANZIA: Mwanafunzi Tumaini University Makumira afariki kwa kujinyonga

TANZIA: Mwanafunzi Tumaini University Makumira afariki kwa kujinyonga

Advertisements

Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira (TUMA) jijini Arusha, Jennifer Meshack (26) amejiua kwa kujinyonga baada ya kujifungua mtoto ambaye hakutimiza miezi tisa tumboni (njiti).

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema Jennifer alijifungua Januari 29, lakini bahati mbaya mtoto wake hakutimiza miezi na kesho yake asubuhi ya tarehe 30 January aliamka na kumyonyesha mtoto kisha alipotea, mpaka alipoonekana juu ya mti akiwa amejinyonga.

CHANZO: Mwanahalisi forum

kitanzi

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: