Home » Fursa » Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti TIA

Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti TIA

Advertisements

MKUU WA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) ANAWAKARIBISHA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MIAKA YA NYUMA NA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2015, KUJIUNGA NA KOZI YA CHETI CHA AWALI YAANI BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 AWAMU YA PILI KATIKA KAMPASI ZAKE ZA DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA KWENYE FANI ZIFUATAZO:-

 • UHASIBU (ACCOUNTANCY)
 • UNUNUZI NA UGAVI (PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT)
 • USIMAMIZI WA BIASHARA (BUSINESS ADMINISTRATION)
 • UONGOZI WA RASILIMALI WATU (HUMAN RESOURSE MANAGEMENT)
 • MASOKO & UHUSIANO (MARKETING & PUBLIC RELATIONS)
 • UHASIBU WA FEDHA ZA UMMA (PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE)

SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA CHETI CHA AWALI:

Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 3 kwa kiwango cha alama ā€œDā€ au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne;

Au

Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi daraja la pili (NVA 2) kutoka chuo cha VETA ,mwenye ufaulu wa masomo angalau mawili katika kidato cha nne.

FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO ZINAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA TAASISI http://www.tia.ac.tz, ZIRUDISHWE KATIKA KAMPASI ZETU ZA DSM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA KUANZIA SASA NA MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI WIKI MOJA BAADA YA MATOKEO YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA. MASOMO YATAANZA WIKI MOJA BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA.

Kwa Mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu namba 0752 210 779 au

0754 772090 au tuma baruapepe tia@tia.ac.tz

Advertisements

7 Comments

 1. Neema selis urio says:

  Nahtaji kujiunga n’a chuo Hugo je gharama yake ipoje

  Like

 2. JAFARI ALLY says:

  MIM I NILIWAHI KUFANYA MITIHANI YA BODI NIISHIA FOUNDATION STAGE ONE ,NIKAFA NYA STAGE TWO MWAKA JUZI NILISHINDWA HESABU NA CLEARING JE ? NAWEZA ENDELEA

  Like

 3. Celestine Deodatus says:

  Nauliza mwenye ufaulu wa c moja anaweza kujiunga na chuo cha uasibu

  Like

  • Elimu Tanzania says:

   Ili kujiunga na chuo kwa level ya cheti unatakiwa kuwa na ufaulu wa PASS nne. PASS ni kuanzia D kupanda juu

   Like

 4. Elimu Tanzania says:

  Reblogged this on elimutanzaniablog.

  Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: