Home » Fursa » Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti TIA

Nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti TIA

Advertisements

Elimu Leo Blog

MKUU WA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) ANAWAKARIBISHA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE MIAKA YA NYUMA NA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA NNE MWAKA 2015, KUJIUNGA NA KOZI YA CHETI CHA AWALI YAANI BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE (NTA LEVEL 4) KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 AWAMU YA PILI KATIKA KAMPASI ZAKE ZA DAR ES SALAAM, MBEYA, SINGIDA, MTWARA, MWANZA NA KIGOMA KWENYE FANI ZIFUATAZO:-

  • UHASIBU (ACCOUNTANCY)
  • UNUNUZI NA UGAVI (PROCUREMENT & LOGISTICS MANAGEMENT)
  • USIMAMIZI WA BIASHARA (BUSINESS ADMINISTRATION)
  • UONGOZI WA RASILIMALI WATU (HUMAN RESOURSE MANAGEMENT)
  • MASOKO & UHUSIANO (MARKETING & PUBLIC RELATIONS)
  • UHASIBU WA FEDHA ZA UMMA (PUBLIC SECTOR ACCOUNTING & FINANCE)

SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI ZA CHETI CHA AWALI:

Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 3 kwa kiwango cha alama “D” au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne;

Au

Awe na cheti cha mafunzo ya ufundi daraja la pili (NVA 2) kutoka chuo cha VETA ,mwenye ufaulu…

View original post 80 more words

Advertisements

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: