Home » Mitihani » TAARIFA KUTOKA NECTA JUU YA VIWANGO VYA UFAULU WA MITIHANI

TAARIFA KUTOKA NECTA JUU YA VIWANGO VYA UFAULU WA MITIHANI

Advertisements
Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa limebadilisha Viwango vya Ufaulu (Grade Ranges). Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watahiniwa na umma kwa ujumla kuwa taarifa hizo ni za UONGO na zinalenga kupotosha umma na kuleta taharuki. Hivyo, Baraza linaomba umma kuzipuuza taarifa hizo kwa kuwa Baraza halijafanya mabadiliko yoyote kuhusu Viwango vya Ufaulu vinavyotumika sasa.
 Imetolewa na,
AFISA HABARI NA UHUSIANO
NECTA.

 

Advertisements

2 Comments

 1. Naomba kupata grade Mpya za kidato cha sita 2017

  Like

  • Elimu Tanzania says:

   Hakuna taarifa yoyote kutoka NECTA wala wizara ya elimu juu ya grade mpya. Ni matumaini yetu kuwa grade za awali zinaendelea kutumika

   Like

Weka mawazo yako hapa

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: